Chama cha Skuti Tanzania kimepeleka wawakilishi wawili kushiriki katika jamboree ya 7 ya skauti Afrika (Rashid Mchatta "Naibu Kamishna Mkuu" - Mshiriki na Murtadhwa Rashid "Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana Afrika Mashariki - Muwezeshaji "MoP"), jamboree ya 7 ya skauti Afrika iliyofanyika nchini Ivory Coast ambayo imejumuisha jumla ya nchi 17 kutoka Afrika na nje ya Afrika amabzo ni ;-
- Benin 58
- Zimbabwé 01
- Côte d’Ivoire 644
- Niger 76
- Nigeria 39
- Togo 24
- Burkina Faso 64
- Mali 12
- Tanzanie 01
- Kenya 05
- Rwanda 01
- Pologne 02
- Zimbabwé 01
- Corée 02
- Guinée 46
- Ghana 26
- Congo (RDC) 03
Picha na Murtadhwa Elbahsan