Picha za utupu za Diane Shima Rwigara zimezagaa katika makundi ya Whatsapp mjini Kigali, Rwanda.
Rwigara, 35, ni msichana ambaye juzi alitangaza nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi utakaofanyika Agosti, 2017.
Picha zake za utupu zimetumwa kama barua-pepe kwa vyombo vya habari na mtu aliyejiita Twahirwa Emmy.
Bw Twahirwa amejitambulisha kuwa ni mwandishi wa habari aliyechukizwa na maadili ya mgombea huyo mtarajiwa.
Ingawaje
hakuna chombo cha habari kilichorusha picha hizo kufikia sasa, lakini
zimekuwa ‘habari ya mjini’ baada ya kutapakaa katika mitandao ya kijamii
hususan Whatsapp.
Picha moja inamuonesha msichana huyo akiwa amekaa kwenye sofa nyumbani sehemu isiyojulikana, akiwa hajavaa chupi wala sidiria.
Picha nyingine inamuonesha akiwa amesimama huku ameyashika maziwa yake.
Ni picha ambazo zitakuwa zimepigwa na mtu wake wa karibu kwani inavyoonekana hazijapigwa kipaparazi.
Msichana
huyo anaonekana pichani akiwa anamuangalia mpiga picha.Picha ya tatu
inawaonesha watu wanne wakiwemo waandishi wa habari watatu wanaojulikana
nchini Rwanda.
Mtuma
picha ameahidi kutuma nyingine akidai lengo lake ni kuufahamisha umma
kuwa mtu anayepiga picha za utupu hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi.
Rwigara ni msichana wa mfanyabiashara mashuhuri Asinapol Rwigara aliyefariki katika ajali ya barabarani mnamo Februari 2015.
Juzi,
Jumatano, alitangaza nia yake ya kuwania urais, akiwaahidi Wanyarwanda
kupambana na umaskini huku akiupa kipaumbele uhuru wa maoni endapo
watamchagua.
Credit: Habari Pevu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni