vijana wa skauti kanda ya afrika mashariki wakijadili kuhusu masuala ya vijana katika mkutano kuu wa nane wa kanda hiyo ya Afrika Mashariki huku kaulimbiu ikisema (scout promoting peace and good citizen ship).
waongoza mada wakisikiliza hoja kutoka kwa wajumbe wa wa mkutano huo.(kutokea kulia ni Malik kutoka Tanzani, anaefata ni Benta kutokea Kenya, anefata ni Brian kutokea uganda na wamwisho ni prience kutokea Burundi)
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huowa nane wa kanda ya Afrika mashariki kutokea kulia ni Murtadhwa (Tanzania), Anita (Uganda), Anna(Tanzania) na Khalid (Uganda).
moja ya waongoza mada (Malik) wa kutokea Tanzania alikua akizungumzi juu ya kaulimbiu ya mkutano huo isemayo "skauti kutangaza Amani na kuwafanya raia kuwa wema"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni