Powered by: Elbahsan Web & Blog Designer
Do want your Network!!! Website or Blog-Spot, Try Us: Elbahsan Web & Blog Designer Contact Us Now... Calll; +255743550360 | +255788680558 Email; murtadhaalbahsan@gmail.com

Zawamba Photo Production

Jumanne, 12 Aprili 2016

WARSHA YA KUWAJENGEA UWWEZO VIJANA SKAUTI MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU MAJUKWAA YA VIJANA, DAIOLOJIA NA MAFUNZO YA KUA MABALOZI WA UJUMBE WA AMANI (MoP)



Katika kutimiza maazimio ya ushirikishwaji wa Vijana katika vyombo vya maamuzi ndani ya Chama cha Skauti (WOSM 2014 - 2023) na utekelezaji wa mpango wa kuanzisha na kuendesha majukwaa ya Vijana (EAZSYF 2014 - 2018), Chama cha Skauti Tanzania - Mkoa wa Dar es Salaam, wamefanikisha semina maalum ya kuwajengea uwezo vijana skauti kutoka wilaya zote tatu zilizopo Mkoani humo kuhusiana na umuhimu wa kua na majukwaa ya Vijana, Daiolojia (Dialogue) na elimu ya Programu za Wajumbe wa Amani (MoP).
Semina hiyo iliyofanyika huko Chamazi katika ukumbi wa shule ya Sekondari Chamazi kuanzia tarehe 8 hadi 10 mwezi April 2016 ambapo ilikua na idadi ya washiriki 15.
Kwaupande wake Ndugu, Peter Rodgers (Kamishna wa Skauti – Wilaya ya Temeke) ambae pia alikua mgeni Rasmi katika kufunga Warsha hiyo, aliwataka vijana hao kuzingatia na kuyafanyia kkazi yale yote yaliyo wasilishwa na wawezeshaji wa warsha hiyo na kuhakikisha wanafikia malengo yaliyokusudiwa na waandaji wa warsha hiyo, aliyasema hayo wakati akifunga rasmi warsha hiyo.
Vile vile Mwenyekiti wa kamati ya Jukwaa la Vijana Skauti Afrika Mashariki Ndugu, Murtadhwa Rashid nae alisisitiza kuhusiana na uazishwaji na kuendesha majukwa ya vijana katika wilaya hizo zilizopata nafasi ya kipekee na kujengewa uwezo wa hali ya juu kutokana na mada zilizo wasilishwa hapo, pia kupitia nafasi hiyo aliwataka washiriki na waandaji wa warsha hiyo kua mfano wa kuigwa katika Nchi ya Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla “Naomba tuitumie fursa hii kwa kua mfano wa kuigwa na jamii zetu, pia tuweze kuwashawishi na mikoa mengine nchini waweze kuanzisha na kuendesha majukwaa ya vijana kwa kutumia hatua kuu nne za kua Wajumbe wa Amani”
Eidha mwenyekiti wa kamati ya jukwaa la vijana skauti Tanzania Ndugu, Chacha N. Mwita kwa nja ya sauti (kupitia simu ya mkononi), ametoa wito kwa makamishna wa skauti ngazi za mikoa na wilaya kuwapa fursa vijana kutumia nafasi yao kwa kuwashirikisha katika vyombo vya maamuzi na kuwawezesha ili waweze kuunda kamati na kuendesha majukwaa ya vijana skauti katika mikoa na wilaya zao.

Picha zote na Elbahsan...
 
Viongozi wa kamati ya jukwaa la vijna Dar es Salaam. (kushot ni Makamo Mwenyekiti(Frides Bakengesa), Mwenyekiti (Tito Jackson) na Katibu(Salma Kweka))

Mwakilishi kutoka (W) Kinondoni Ndugu, Faraji akiwasilisha mada

Mwakilishi kutoka (W) Ilala Ndugu, Abdul akiwasilisha mada


Mwakilishi kutoka (W) Temeke Ndugu, Ramadhan akiwasilisha mada

Washiriki wakisikila mada kutoka kwa muwezeshaji


Washiriki wakipata picha ya pamoja baada ya kipindi cha kwanza

Washiriki wakipata picha ya pamoja baada ya kipindi cha kwanza

Washiriki wakijadiliana jamo baada ya somo


Washiriki wakisikiliza hoja ya mwezao alipokua akiwasilisha kwao





Washiriki wakisikiliza kwa makini kile walichokua wakifunza kutoka kwa muwezeshaji

Washiriki wakisikiliza kwa makini kile walichokua wakifunza kutoka kwa muwezeshaji

Muwezeshaji akiwasilisha mada

Muwezeshaji akiwasilisha mada

Muwezeshaji akiwasilisha mada

Muwezeshaji akiwasilisha mada

Muwezeshaji akiwasilisha mada

Muwezeshaji akiwasilisha mada

Muwezeshaji akiwasilisha mada




Mwenyekiti akiongea na washiriki wakati wa kufunga warsha hiyo



 

Makamo Mwenyekiti akiongea na washiriki wakati wa kufunga warsha hiyo


Mwenyekiti akiongea na washiriki wakati wa kufunga warsha hiyo


Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana Skauti na aliekua Muwezeshaji (MoP) Ndugu Murtadhwa akiongea na washiriki wakati wa kufunga warsha hiyo

Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana Skauti na aliekua Muwezeshaji (MoP) Ndugu Murtadhwa akiongea na washiriki wakati wa kufunga warsha hiyo


Kamishna wa Skauti (W) Temeke, na Aliekua Mgeni Rasmi katika kufunga warsha hiyo Ndugu Peter Rodgers akiongea na washiriki wakati akifunga rasmi Warsha hiyo.

Kamishna wa Skauti (W) Temeke, na Aliekua Mgeni Rasmi katika kufunga warsha hiyo Ndugu Peter Rodgers akiongea na washiriki wakati akifunga rasmi Warsha hiyo.
Kamishna wa Skauti (W) Temeke, na Aliekua Mgeni Rasmi katika kufunga warsha hiyo Ndugu Peter Rodgers akiongea na washiriki wakati akifunga rasmi Warsha hiyo.

Imetolewa na
Kamati ya Jukwaa la Vijana Skauti - Tanzania.



This Blog Powerd by:
  Elbahsan Web & Blog Designer
A Subsidiary of  Elbahsan Web & Blog Designer for Global Development, Inc.
+255 (0) 653 373 432 & +255 (0) 688 090 423
For the Web & Blog Template and Designing
Dar Es Salaam, Tanzania