Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akimlaki balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van
de Geer alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland
Van de Geer baada ya kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es
salaam April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na balozi wa Umoja wa Ulaya
nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam April 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland
Van de Geer baada ya kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es
salaam April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe.
Yahel Vilan alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam April 6,
2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalumu toka kwa Waziri Mkuu wa Israel
Mhe. Benjamin Netanyahu uliowasilishwa kwake na Balozi wa Israel hapa
nchini Mhe. Yahel Vilan alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akimsindikiza baada ya mazungumzo na Balozi wa Israel
hapa nchini Mhe. Yahel Vilan alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan
baada ya kutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
April 6, 2017.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni