Inasemekana kuwa Sababu ya mabasi ya shule kuwa na rangi ya njano
ni kuepusha ajali, binadamu anaona rangi ya njano haraka kuliko rangi
nyingine. Ili kuepusha ajali ndo maana magari mengi ya wanafunzi hapa
duniani yanatambulika kwa kupakwa rangi ya manjano
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni