Do want your Network!!! Website or Blog-Spot, Try Us:Elbahsan Web & Blog DesignerContact Us Now... Calll; +255743550360 | +255788680558 Email; murtadhaalbahsan@gmail.com
Zawamba Photo Production
Jumatano, 12 Septemba 2018
Barua ya Maombi ya Kazi ni kivutio kwa mwajiri...
Uandishi wa barua ya maombi ya kazi inawezekana usione ni jambola maana.
Lakini barua iliyoandikwa vizuri itakuza nafasi yako ya kupata kazi.
Dondoo hizi zitakusaidia kuandika vizuri na ujue umuhimu wa kuandika
barua hiyo.
Kwa ufupi
Uandishi wa barua ya maombi ya kazi
inaweza kuwa jambo usilo lipenda, lakini ni jambo muhimu katika maombi
ya kazi mengi. Barua ya maombi ya kazi ni muonekano wako wa kwanza kwa
mwajiri wako mtarajiwa. Barua nzuri ya maombi itamfanya avutiwe
kuangalia CV yako. Utafiti umeonyesha, waajiri wanavutiwa na maombi ya
kazi ambayo yana barua ya maombi. Ina muonyesha mwajiri wako kuwa
umevutiwa kwa dhati na nafasi unayo omba. Inatakiwa ionyeshe ujuzi wako
na mafanikio yako ambayo yanaendana na nafasi unayo omba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni