Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango
akizungumza wakati wa uzinduzi wa Warsha ya umuhimu wa taasisi katika
Maendeeo ya Viwanda nchini kwa watafiti iliyoandaliwa na taasisi ya
REPOA
Mkurugenzi mkuu wa REPOA Tanzania, Dr Donald Mmari akizungumza juu ya taasisi hiyo na mudhui ya mkutano kwa watafiti
Baadhi ya Washiriki wakiwa katika mkutano huo wakifuatilia kwa makini
Baadhi ya wabunge wa Bunge la jamhuri ya Muungano Tanzania wakiwa katika mkutano huo
Baadhi ya Washiriki wakiwa katika mkutano huo
Kiongozi wa umoja wa Ulaya Roeland Van De Geer akizungumza wakati wa mkutano huo
Profesa Lant Pritchett kutoka chuo kikuu cha Havard
Marekani akizungumza mara baada ya ufunguzi wa Warsha hiyo Prof Lant ni
mmoja wa watoa mada wakuu waliofika katika mkutano huo
Baadhi ya Washiriki wakiwa katika mkutano huo wakisikiliza mada kutoka kwa Prof Lant
Waziri wa Fedha na Mipango , Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni