Changamoto kubwa aliyonayo mwanamke baada ya kujifungua mtoto ni kulirudisha umbo lake katika ubora wake.
Na kwa wanawake ambao uzuri na muonekano wao ni kipaumbele
cha kwanza, hali huwa tete zaidi. Lakini si kwa Mrs Chibu Dangote, Zari
the Bosslady ambaye ameonesha kufurahia jinsi alivyorudi kwenye reli
fasta.
Amepost picha za muonekano wake wa miezi mitatu na nusu
tangu apate mtoto wa pili na Diamond na so far yeye mwenyewe anaridhika
na maendeleo ya umbo lake huku pia akitoa tips kwa wanawake wengine.
“You can achieve it if you put your mind onto it then
implement it. #HerbalLife #Snapback 3months and a half… yes you can do
it,” ameandika kwenye selfie aliyoiweka Instagram.
Kwenye picha nyingine ameandika, “diets needed, am a
typical African woman who loves her food, just learn how to eat right,
exercise and drink lots of water for your skin.”
Hakuacha kuwapa ‘haters’ vidonge vyao pia, “They will need
respirators trying to keep up with me. I have no brakes so I ain’t
stopping soon @GrindMode.”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni