Na Murtadhwa Elbahsan.
Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Jamala Adam Taib
akiwaeleza washiriki wa Kongamano la Kimataifa la NED Historia na
Maendeleo ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja pamoja na kuanzishwa kituo cha
NED mwaka 2015.
Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu inayohusiana na
upasuaji wa mishipa ya fahamu, uti wa mgongo na vichwa maji NED) Dkt.
Hosea Piquer akitoa maelezo kwa washiriki wa Kongamano la Kimataifa la
madaktari wanaoshughulikia maradhi hayo kutoka Afrika, Ulaya na
Marekani.
Mratibu wa Kongamano la Kimataifa la NED linalofanyika
Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Dkt. Mahmood Qureshi akizungumza na
washiriki wa Kongamano hilo
Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akifungua Kongamano la Kimataifa la siku
tatu linalowashirikisha madaktari wa maradhi ya mishipa ya fahamu, uti
wa mgongo na vichwa maji NED katika kituo cha maradhi hayo Hospitali Kuu
ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Kituo cha NED cha Hospitali Kuu ya Mnazimmoja panapofanyika
Kongamano la siku tatu la wataalamu wa maradhi hayo kutoka mataifa tisa
ya Afrika, Ulaya na Marekani.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni