Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akiongea na watumishi waandamizi wa Wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma. Picha zote na Sheiba Bulu |
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Joyce Mtuma mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju mara baada ya
kuwasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akiangalia kadi ya Pongezi iliyoasiniwa na watumishi wa wizara
mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisalimiana na Jaji mfawidhi Kanda ya Dodoma Mhe. Mwanaisha
Kwariko alipowasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisalimiana na watumishi wa Wizara mara baada ya kuwasili
Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisalimiana na watumishi wa Wizara mara baada ya kuwasili
Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisikiliza maelezo mbalimbali alipokutana na watendaji wa Wizara
na Mahakama katika ukumbi wa mikutano Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisaini kitabu cha wagenu baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni