Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda alipowasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam.. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840,
yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni
10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa alipowasili kuzindua majengo mapya ya
mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani
jijini Dar es salaam. Kiushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius
Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840,
yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni
10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya
mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani
jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius
Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840,
yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni
10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania
(TBA) Arch. Elius Mwakalinga akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar
es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo
mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la
Mlimani jijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Mama Janeth Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipokea salutitoka kwa kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa
Kinondoni SACP Suzana Kaganda wakati akiwasili kuzindua majengo mapya
ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili
kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi huku Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya na Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba
wakfurahia wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza meza kuu kuimba wimbo wa Taifa
Wimbo wa Taifa
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Michael Wambura Isamuhyo akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa
Kwaya ya Chuo Kikuu ikitoa buridani
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Dkt. Leornad Akwilapo akitoa muhtasari wa shughuli
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Wasanii nyota wa Bongo Movie na wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala akisoma muhtasali wa mradi huo
Rais wa wanafunzi wa UDSM akisema machache kabla ya kukabidhi zawadi kwa Rais
Rais wa wanafunzi wa UDSM akikabidhi zawadi kwa Rais
Kwaya ya UDSM ikitumbuiza
Wanahabari wa Global TV wakiwa kazini kurusha tukio mubashara
Mkuu wa Idara ya Sanaa za Ubunifu Dkt. Kedmon Mapana akiongoza kwaya kwa ustadi mkubwa
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husseij Mwinyi akiongea machache
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akiongea machache
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Prof. Joyce Ndalichako akiongea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakisimama kwa muda kuomboleza
vifo vya askari polisi nane waliouwawa Kibiti
Mwenyekiti wa Bunge na Mbune wa Ilala Mhe Mussa Hassan Zungu akiongea machache
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
Wahadhiri na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wahadhiri wakifurahia hotuba ya Rais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsifia Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga kwa
kufanikisha mradi huo kwa muda wa chini ya mwaka mmoja na kwa gharama
nafuu kabisa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo akiitikia jambo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi
Mama Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala
Mhe. Edward Mpogolo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wahadhiri waandamizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakielekea eneo la uzinduzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Profesa Mukandala baada ya kuzindua
rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph
Sinde Warioba baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde
Warioba baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mabweni baada ya kuzindua rasmi majengo hayo

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya
Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakiangalia mabweni baada ya kuzindua rasmi
majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na maprofesa mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa majeshi na chuo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa
wanafunzi na chuo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa
mkoa wa Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa chuo na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala baada ya kuhitimishwa kwa hafla hiyo.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni