![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj69nYBq2kPVBDysfDMPfzx_ELa-HTSdWzE-DO3XGflC4uwQ5-UHUm4tXg46Ua4euG76EkdQMFapBNZ2ROGrPm-kf43KsWfmuwTAvsw8JuGB786FGxuf07MCicV9NrtJyR60D56xWRzoyQ/s640/1.jpg)
Mahiza ameyaahidi hayo tarehe 3 Oktoba 2018 baada ya kuapishwa mbele ya Rais John Magufuli ikulu jijini Dar es Salaam.
Katika hatua nyingine, Mahiza ameahidi kuieneza skauti katika vyuo vya kati na vyuo vikuu
“Nakushukuru
kwa kuniteua kulea vijana wa Tanzania kupitia skauti, wajibu wangu ni
mambo mawili, kuhakikisha skauti inaenea katika vyuo vya kati na vyuo
vikuu kwa sababu miaka mingi ilienea shule za msingi na sekondari,”
amesema Mahiza.
Vile vile, Mahiza ameahidi kufanikisha ujenzi wa kambi ya kimataifa ya Skauti jijini Dodoma.
“Wajibu
wangu wa pili, ni kuhakikisha tunafanikisha ujenzi wa kambi ya
kimataifa jijini Dodoma. Nakuahidi sitakuangusha,” amesema.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie7_CQszo5m-nlo88dWeTzNohv8dYJuZEP3VnyaOjv2SjOhisGOd1kHwUNPIKeRTNkHHltwTA2qwwfwMCeavK1vzthToDHULCFZounHr7FjtZZ1NUx4VZibc8GZ5pHKJsMy5fws2aLUS4/s640/2.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiReMhHvD6ZTHX5woIS8C48uUGe9brSrjkNjwnUoMUAVkQguJMFU7jhfpRKkgZ2alRjlbAj8IvkuoQ3lQzZLmEzAp8Ci6HFsa-sXxnWNuwpKYkwl___2HKBPb_bxnq8SndIOmToRsPHYYM/s640/3.jpg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni