Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara
baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya
kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya
kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha
Mapinduzi Abdallah Bulembo mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili mkoani
Dodoma. Pembeni yake ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Dodoma.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni