Doreen
alikuwa afanyiwe upasuaji kwa makadrio ya masaa matano na dakika 30
lakini zoezi hilo lilikamilika kwa masaa manne huku timu ya “Surgical
Support” IKIWA na watu 6 na wakiongozwa na Madaktari bingwa wawili, Dr.
Meyer na Dr. Durward.
Mtoto
Doreen amehamishwa kutoka chumba cha upasuaji na kupekewa ICU na
Madaktari wamesema kwasababu hali yake imeridhisha sana, baadae leo
watamtoa ICU ambako wamempumzisha baada ya upasuaji na kumrudisha wodi
ya watoto
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni