Powered by: Elbahsan Web & Blog Designer
Do want your Network!!! Website or Blog-Spot, Try Us: Elbahsan Web & Blog Designer Contact Us Now... Calll; +255743550360 | +255788680558 Email; murtadhaalbahsan@gmail.com

Zawamba Photo Production

Jumatano, 19 Aprili 2017

Ajali ya treni na Daladala.................. Yaua MMoja na Majeruhi 23 Dar.



Na Mutadhwa Elbahsan Dar er salaam.
 
Ajali ya treni na Daladala ya kutoka Gongo la mboto !!!!!
 

Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea ajali ya basi la daladala (T 435 DGG ) kutoka Gongo la mboto kwenda Mnazi mmoja kuigonga treni ya Pugu leo Aprili 19, 2017 saa 11 Alfajir katika makutano ya reli na  barabara ya Nkurumah jijini Dar es Salaam, alfajr.

Majeruhi wa ajali ni 23 , saba wapo hospitali ya Amana na waliobakia 16 wapo Hospitali ya Taifa Muhimbili MOI watatu kati yao ni mahututi.
 

Hata hivyo treni ya Pugu inaendelea na huduma zake kwa kufuata ratiba.

Imetolewa na Afisi ya Uhusiano kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Focus Sahani,
Dar es Salaam,
Aprili 19, 2017.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni