Kikapu maalumu kinachotumika katika Baloon kwa ajili
ya kubeba watalii kikishushwa katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti kwa ajili ya Utalii wa Baloon.
Waandaaji wa Baloon wakifanya maandalizi ya kuliandaa
Baloon hilo kwa ajili ya kubeba wageni wakati wa maandalizi ya kutalii
katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Rubani wa Baloon linalo milikiwa na Kampuni ya
Serengeti Balon Safari ,Masoud Mohamed akitoa maelekezo kwa crew yake
wakati wa maandalizi ya balon hiyo.
Watangazaji wa Kipindi cha Clouds 360 James Tupatupa
na Sam Sasali wakiwa mbele ya Baloon wakati liwekewa hewa kabla ya
kuanza safari ya utalii.
Baloon likiwekewa hewa .
Sehemu ya ndani ya Baloon ikionekana wakati likijazwa hewa kabla ya kuanza safari.
Baloon ikijazwa hewa kabla ya kuanza safari ya Utalii.
Rubani wa Baloon Masoud Mohamed akiruhusu gesi kwa
ajili ya kuchoma Oxygen wakati wakiandaa Baloon kwa ajili ya kuanza
safari ya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Seengeti.
Baadhi ya Wageni wakifurahia jambo na Mhifadhi Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,William Mwakilema walipokuwa wamepanda
Baloon kuzunguka katika maeneo mbalimbali ya Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti.
Rubani wa Baloon ,Masoud Mohamed akiongoza chombo hicho kupita maeneo mbalimbali ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Baadhi ya wageni wakiwemo Wanahabri wakiwa katika kikapu maalum kinachobebwa na Baloon .
Baloon likiwa angani ambapo watalii wamekuwa akifanya utalii huu wa aina yake unaofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Msafara wa Pundamilia ukiwa kwenye uwanda wa nyasi fupi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Muonekanao wa ndani wa Baloon wakati likiwa angani.
Baadhi ya wageni wakiwemo wanahabari walipanda Baloon kwa ajili ya kufanya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Picha na Dixon Busagaga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni