Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na baadhi
ya viongozi walioshiriki katika Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji
Wananchi ya Serikali aliyoyafungua kwenye uwanja wa Mashujaa mjini
Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na
watumishi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakati alipotembelea banda la
benki hiyo kwenye maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya
Serikali aliyoyafungua kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akizungumza na
wanachama wa kikundi cha Juhudi kinachojishughulisha na usindikaji
vyakula kabla ya kufungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya
Serikali kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikilza Bi.
Evelyne Mandenje amabaye ni mmoja wa wajasiriamali walionufaika na
mikopo inayotolewa na Benki ya TIB wakati alipotembelea banda la
wasindikaji vyakula kabla ya kufungua Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji
Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama wakijadili jambo katika maonyesho ya Mifuko ya
Uwezeshaji Wananchi ya Serikali yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye
uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 28, 2017. Kulia ni Afisa
Mwandamizi wa Fedha wa Benki ya TIB, Kenneth Lusesa
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TBP, Bw. Sabasaba
Moshingi akizungumza kwa niaba ya viongozi wa Mifuko ya Uwezeshaji ya
Serikali katika maonyesho ya mifuko hiyo yaliyozinduliwa na Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,
Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasalimia
wananchi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Maonyesho ya
Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa Uhuru mjini
Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi
wa manispaa ya Dodoma, Bw. Godwin Kunambi (wapili kushoto) hundi ya
Shilingi 1, 469, 358,0 00/= kwa ajili ya vijana kabla ya kufungua
maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa
mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. Wanne kushoto ni Wziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,
Jenista Mhagama na kulia ni Naibu Wziri wake, Anthony Mavunde. Kushoto
ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini , Christina Mndeme na watatu kushoto
ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi,
Beng Issa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa
Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya TPB, Noves Moses
(kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Moshingi ( wapili
kulia) cheti maalum cha kushiriki Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji
Wananchi ya Serikali kabla ya kufungu maonyesho hayo kwenye uwanja wa
Mashujaa mjni Dodoma Aprili 18, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa
Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya TPB, Noves Moses
(kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Moshingi ( wapili
kulia) cheti maalum cha kushiriki Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji
Wananchi ya Serikali kabla ya kufungu maonyesho hayo kwenye uwanja wa
Mashujaa mjni Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Meneja wa
PPF wa Kanda ya Mashariki na Kati, Bw. Michael Christian cheti maalum
cha kushiriki Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali
kabla ya kufungu maonyesho hayo kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati
alipofungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali
kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika maonyesho ya Mifuko ya
Uwezesha Wananchi ya serikali baada ya kufungua maonyesho hayo kwenye
Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika maonyesho ya Mifuko ya
Uwezesha Wananchi ya serikali baada ya kufungua maonyesho hayo kwenye
Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi na wadau walioshiriki katika maonyesho ya
Mifuko ya Uwezesha Wananchi ya serikali baada ya kufungua maonyesho hayo
kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mzee
Maarufu wa Dodoma, Job Lusinde baada ya kufungua maonyesho ya Mifuko ya
Uwezeshaji Wananchi ya serikali kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
Aprili 18, 2017. Wengine pichani kutoka kulia ni Waziri wan chi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, AjiraKazi, Jijana, ajira na Wenye Ulemavu,
Jenista Mhagama, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mndeme na
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi,
Beng Issa.
PICHA NA PMO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni